MSIMU wa kawaida wa Ligi Kuu ya raga ya wanaume ya wachezaji 15 kila upande 2024-2025 utakamilika leo. Impala, Nakuru, Strathmore Leos, Kisumu, Mwamba na South Coast Pirates kila moja itatumai kuponea…
Month: March 2025
Mwanamke mjini Kisumu akamatwa kwa kurekodi video chafu na mwanawe ili kuuza mtan
MWANAMKE mmoja mjini Kisumu, amekamatwa kwa madai ya kunyanyasa mtoto kingono baada ya video kusambazwa mtandaoni akidaiwa kushiriki tendo la ndoa na mwanawe wa kiume mwenye umri wa miaka 14. Kulingana na…
Miradi hatarini kaunti zikikosa kutumia Sh72b
MIRADI ya kaunti kuhusu afya, elimu na barabara inakabiliwa na hatari kubwa ya kukwama baada ya serikali za kaunti kukosa kutumia Sh72 bilioni za bajeti ya maendeleo katika kipindi cha miezi sita…
Kalonzo, Eugene, Omtatah wakejeli ndoa ya kisiasa ya Raila na Ruto
KIONGOZI wa Wiper Democratic Movement, Kalonzo Musyoka, aliyekuwa waziri wa ulinzi Eugene Wamalwa na Mwanaharakati Okiya Omatatah wametaja mkataba kati ya Rais William Ruto na kiongozi wa ODM Raila Odinga kama ‘usaliti’…
Raila amekuwa ‘rais- mwenza’ wa Ruto kupitia mkataba
RAIS William Ruto na aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga jana walitia saini rasmi Mkataba wa Maelewano (MoU) kujumuisha chama cha Orange Democratic Movement (ODM) katika utawala wa Kenya Kwanza. Makubaliano hayo yaliashiria…
Lionesses ndaaaani nusu-fainali ya Cape Town Challenger, japo kwa jasho
KENYA Lionesses wamejitosa nusu-fainali ya duru ya pili ya mashindano ya raga za wachezaji saba ya Challenger Series, japo kwa jasho jijini Cape Town nchini Afrika Kusini, Ijumaa. Lionesses wamemaliza juu ya…
Maswali Mudavadi, Weta wakikwepa kurasmishwa kwa ndoa ya kisiasa ya Ruto na Raila
MKUU wa Mawaziri Musalia Mudavadi na Spika wa Bunge la Kitaifa Moses Wetangula, waliwaacha wengi na maswali kwa kukwepa kuhudhuria mkutano wa kutiwa saini mkataba wa maelewano kati ya vyama vya United…
Raila afichua alikataa kutia saini mkataba uliotayarishwa akiwa nje ya nchi
KIONGOZI wa ODM Raila Odinga jana alifichua kwamba alikataa kutia saini mkataba na Rais William Ruto walipokutana Mombasa baada yake kurejea nchini wiki moja baada ya kushindwa katika uchaguzi wa uenyekiti wa…
Uhaba wa madaktari wa upasuaji Afrika watatiza wagonjwa
KATIKA kijiji cha Koono, Kaunti ya Turkana, Lomong, kijana wa miaka 12 amekaa kwenye kiti huku akiwatazama vijana wenzake wakicheza kandanda. Anauguza mguu wake uliofanyiwa upasuaji juma lililopita kurekebisha tatizo lililosababishwa na…
Joho sasa amtaka Ruto amalize ‘kumi bila breki’
WAZIRI wa Madini, Uchumi wa Baharini na Masuala ya Ubaharia, Bw Hassan Joho, ametangaza msimamo kwamba ataunga mkono Rais William Ruto kwa urais ifikapo mwaka wa 2027. Kauli hii ya Bw Joho…
Kindiki aahidi bei ya juu ya kahawa huku akitwaa ‘mageuzi’ yaliyokuwa ya Gachagua
NAIBU Rais Kithure Kindiki amewahakikishia wakulima wa kahawa kwamba mapato yao yataimarika mwaka huu kutokana na mipango inayotekelezwa na serikali katika sekta hiyo. Prof Kindiki ambaye amechukua wajibu wa kuongoza mageuzi katika…
TAHARIRI: Kenya ijifunze kujitegemea, ipo hatari yaja ulimwenguni
KADRI mienendo ya kimataifa inavyozidi kubadilika, mataifa yanayostawi hasa barani Afrika yanazidi kusukumwa kwenye mahangaiko makubwa. Utawala wa sasa wa Amerika chini ya Rais Donald Trump, unafaa utumike kuyazindua usingizini mataifa ya…
MAWAIDHA YA KIISLAMU: Tuhusishe uhusiano wetu na Kurani katika mfungo
SIFA zote njema anastahiki Mwenyezi Mungu, Mwenye kuneemesha neema kubwa kubwa na nyingine ndogondogo, swala na salamu zimwendee Mtume wetu Muhammad Swallallahu ‘Alayhi wasallam, maswahaba wake watukufu na watangu wema hadi siku…
Maraga: Serikali ya sasa haipeleki Kenya popote, nina uwezo wa kunyorosha mambo
JAJI Mkuu wa zamani David Maraga ameahidi kunyoosha nchi hii na kuirejesha katika mkondo wa utawala bora iwapo Wakenya atamchagua kama rais mwaka wa 2027. Bw Maraga Alhamisi alisema atapambana na mafisadi…
Treasury CS Mbadi Explains Ksh73 Billion Budget Error
The National Treasury has admitted to a Ksh73 billion error in the Budget Policy Statement (BPS) submitted to Parliament, prompting the government to seek amendments to correct the figures. In a letter dated February 25, 2025, the Treasury requested…