Raila Odinga has claimed that Kenya has only held one truly free and fair election since the country embraced multiparty democracy in 2002. Speaking in Machakos County during the funeral of veteran…
Blog
KICC to Unveil Spectacular AI-Powered Dancing Water Fountains This Month
The Kenyatta International Convention Centre (KICC) is set to redefine Nairobi’s urban landscape with a dazzling new attraction—state-of-the-art dancing water fountains. The Ksh100 million project, designed to elevate the visitor experience, will…
Kakamega Gang Busted for Running Illegal Police Cell, Extorting Locals
Days after authorities uncovered an illegal police patrol base in Uasin Gishu, law enforcement has arrested six people for running a makeshift police cell in Kakamega town, where they unlawfully detained and…
Rais Ruto atanunua mashine ya kutengeneza chapati milioni moja kwa siku
RAIS William Ruto ameahidi kumnunulia Gavana wa Nairobi, Johnson Sakaja, mashine ya kutengeneza chapati inayoweza kupika milioni moja kwa siku ili kuimarisha mpango wa lishe wa shule wa ‘Dishi Na County’ jijini…
Yabainika chanzo cha mzozo mpakani Narok-Kisii sio wizi wa mifugo pekee
IMEBAINIKA kuwa mgogoro unaoendelea katika mpaka wa Narok – Kisii eneo la Kiango unachochewa sio tu na wizi wa mifugo bali pia na mzozo wa mpaka na uchochezi kutoka kwa viongozi wa…
Siri ya kujaza kibaba katika ufugaji nyuki
ERICK Kamau na mwasisi mwenza Waiyaki Way Beekeepers, Philip Muchemi, wamekuwa kwenye ufugaji wa nyuki kwa zaidi ya miaka mitano. Ni kampuni ya bidhaa zinazotokana na ufugaji nyuki iliyozinduliwa 2019, na kuanza…
Ni kunyamazishwa? Mdhibiti wa Bajeti alalamikia ofisi yake kupunguziwa mgao
MDHIBITI wa Bajeti, Margaret Nyakang’o, ameonya kuwa shughuli za ofisi yake huenda zikakwama kufuatia kupunguzwa kwa bajeti yake kwa Sh850 milioni katika mwaka ujao wa kifedha. Hatua hii inajiri wakati ambapo Dkt…
Raila: Watu wanapiga kelele kwamba nilitafuta Ruto ilhali ni yeye alinifuata
KIONGOZI wa ODM, Raila Odinga, Jumanne alitetea uamuzi wake wa kutia saini mkataba wa ushirikiano na Rais William Ruto, akifichua kuwa ni Rais mwenyewe aliyemsaka amsaidie. Bw Odinga alisema kuwa uamuzi wake…
Afueni kwa wazazi wizara ikisema hisabati na sayansi sio lazima Sekondari Pevu
SERIKALI imefanunua kwamba haitakuwa lazima wanafunzi wa Gredi 10, 11, na 12 kusoma masomo hisabati na sayansi. Badala yake wanafunzi hao wana uhuru wa kuchagua masomo wanayotaka kulingana na uwezo na matamanio…
Tukio adimu Ramadhani na Kwaresma zikiwasili wakati mmoja na kukoleza imani, upendo
KADRI mwangaza wa alfajiri unavyotokea, dunia huamka kutoka usingizini na waumini wa dini mbili—Ukristo na Uislamu—huamka kwa unyenyekevu. Huu ni mwezi ambapo waumini wa dini hizi mbili, ingawa na imani tofauti, wanazingatia…
Murang’a Family Seeks Government Help After Daughter’s Death Sentence in Vietnam
In the tranquil village of Karikwe in Kiharu, Murang’a County, a family is reaching out for help from the Kenyan government after their daughter, Margaret Nduta Macharia, was sentenced to death in…
Murang’a Family Seeks Government Help After Daughter’s Death Sentence in Vietnam
In the tranquil village of Karikwe in Kiharu, Murang’a County, a family is reaching out for help from the Kenyan government after their daughter, Margaret Nduta Macharia, was sentenced to death in…
Daraja hatari Ololulunga lililopindika na kutingika wakazi wanapopita
DARAJA la Oleshapani – Ololoipangi katika wadi ya Ololulunga eneo bunge la Narok Kusini linatatiza huduma za usafiri kutokana na ujenzi mbovu ambao unasababisha kutingika wakati wapitanjia na waendesha magari wanapotumia. Daraja…
Kioja jijini Nairobi, mwanamume akijaribu kujiua kwa kujiteketeza nje ya Mahakama ya Juu
IDARA ya Mahakama inachunguza kiini cha hatua ya mwanamume mmoja kujiteketeza nje ya majengo ya Mahakama ya Juu, Nairobi Jumanne, Machi 11, 2025. Kwenye taarifa aliyotoa baada ya mwanamume huyo kuokolewa na…
Sudi aondolea kesi Gen Z waliovamia na kuiba katika kilabu chake cha Timba XO
NI afueni kwa vijana 16 wa Gen Z ambao wamekuwa wakikabiliwa na mashtaka ya kuiba mali ambayo ilikuwa ni pamoja na vifaa pombe na kuharibu mali nyingine yote ya kima cha Sh150…