KIOJA kilizuka katika boma la mamapima wa eneo la Nyamachaki, Nyeri baada ya wateja wake kumfokea kwa kuwadharau. Inadaiwa kwamba makalameni waliokuwa wakiburudika kwa mamapima waliudhika baada ya mamapima kudai binti wake…
Blog
TAHARIRI: Raila ana fursa ya kumshawishi Ruto aimarike
BAADA ya juhudi kadhaa za kumrai Rais William Ruto abadili baadhi ya mipango yake kukosa kufaulu, sasa Rais ana nafasi moja ya kuokoa hatima yake. Miongoni mwa mipango inayotishia kufaulu kwa Rais…
Amerika yaondoa raia wake Juba vita vikinukia
WASHINGTON, Amerika WIZARA ya Masuala ya Kigeni ya Amerika imeamuru wafanyakazi wa ubalozi wake kuondoka jiji Juba Sudan Kusini huku taharuki ikitanda nchini humo baada ya mapigano yanayoendelea kaskazini mwa nchi hiyo….
MAONI: Raila si msaliti, wakosoaji wake pia wana fursa kujaribu upinzani
KINARA wa upinzani Raila Odinga hajamsaliti mtu yeyote baada ya kuingia kwenye muafaka na Rais William Ruto kwa sababu alifanya hivyo kuhakikisha taifa linasalia dhabiti na linadumisha umoja. Mnamo Ijumaa wiki jana,…
Guardiola arejea Uhispania kisiri kujaribu kuokoa ndoa yake na Cristina
IMEFICHUKA kuwa kocha Pep Guardiola alifunga safari ya siri ya siku tatu kwenda Barcelona kujaribu kuokoa ndoa yake kwa kukaa pamoja na mkewe Cristina nyumbani kwao Uhispania. Inaonekana kuwa mkufunzi huyo wa…
Kesi ya kutafuta haki kwa Rex Masai yaahirishwa baada ya shahidi muhimu kukosa kuwasili
UCHUNGUZI wa mahakama kubaini kilichosababisha kifo cha Gen Z mwanaharakati Rex Masai Juni 2024 uliahirishwa hadi Alhamisi wiki hii. Hii ni baada ya afisa wa polisi aliyekuwa msimamizi wa utoaji na matumizi…
Urafiki wa Ruto, Raila watia ODM kiwewe uchaguzi mdogo wa Magarini
VIONGOZI wa ODM katika Kaunti ya Kilifi, wameomba aliyekuwa Mbunge wa Magarini, Bw Harrison Kombe, aungwe mkono na chama hicho pamoja na Kenya Kwanza katika uchaguzi mdogo. Bw Kombe alipoteza kiti hicho…
Kituo cha data Naivasha kilichofyonza Sh2 bilioni za walipa ushuru bado hakifanyi kazi
MRADI wa serikali wa ujenzi wa kituo cha kitaifa cha kuendesha shughuli za ukomboaji wa data, mjini Naivasha, Kaunti ya Nakuru wa gharama ya Sh2 bilioni haujafaidi walipa kodi. Baada ya zaidi…
Sifuna, Babu Owino na Wanyonyi wakwepa ziara ya Rais jijini, je, Sakaja anawafunika?
WABUNGE watatu wa ODM katika Kaunti ya Nairobi jana walisusia ziara ya Rais William Ruto jijini, hatua ambayo ilisawiriwa kuwa upinzani kwa muafaka kati yake na Kinara wa upinzani Raila Odinga. Makubaliano…
Bei ya sukari yafyatuka juu serikali ikianza sasa kutekeleza ada ya ustawishaji kilimo cha miwa
KUANZISHWA kwa Ada ya Ustawi wa Sekta ya Sukari (SDL) mnamo Februari 1, 2025, kumechangia kupanda kwa bei ya bidhaa hiyo hadi Sh166.45 kwa kila kilo. Bei hiyo ndiyo ya juu zaidi tangu…
Serikali: La, hatujauzia Mturuki Bomas Of Kenya inavyodaiwa, tunafanya tu ukarabati
SERIKALI Jumatatu ilikanusha vikali madai ya aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua kuwa kuna mpango wa kuuza Bomas of Kenya kwa raia wa Uturuki. Katibu katika Idara ya Utamaduni na Turathi Ummi Mohamed…
Raila alivyokutana ana kwa ana na ghadhabu za Wakenya Kisii
KINARA wa ODM Raila Odinga Jumapili alikumbana na ghadhabu za Wakenya ambao hawajafurahishwa na hatua yake ya kuhalalishwa uhusiano wake wa kisiasa na Rais William Ruto. Siku mbili tu baada ya kutia…
NASAHA ZA RAMADHANI: Kufuturishana wakati wa saum ni kwa ajili ya kuleta usawa, thawabu
ASSALLAM Aleykum. Ewe ndugu yangu muumin wa dini yetu tukufu ya Kiislamu. Angalia jinsi ambavyo Mola wetu alivyotuambia kuwa funga ya saumu ni siku chache mno kwenye kitabu chetu kitukufu cha Kurani….
Wakulima wagutuka kusikia Mumias haijalipa ushuru wa Sh3.5 bilioni
WAKULIMA wa miwa Mumias wanataka Meneja Mrasimu wa Kiwanda cha Sukari cha Mumias Ponangipalli Venkata Ramana Rao achunguzwe kutokana na deni la Sh3.5 bilioni la ushuru. Hii ni baada ya Jopo la…
Nenda basi uungane na Gachagua, ODM wamfokea Kalonzo
GAVANA wa Kisumu Profesa Anyang’ Nyong’o Jumapili alimshutumu vikali Kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka kwa kudai kuwa Kiongozi wa Upinzani Raila Odinga aliusaliti Muungano wa Azimio kwa kuingia serikalini. Bw Odinga na…