WABUNGE watatu wa ODM katika Kaunti ya Nairobi jana walisusia ziara ya Rais William Ruto jijini, hatua ambayo ilisawiriwa kuwa upinzani kwa muafaka kati yake na Kinara wa upinzani Raila Odinga. Makubaliano…
Category: Politics
Bei ya sukari yafyatuka juu serikali ikianza sasa kutekeleza ada ya ustawishaji kilimo cha miwa
KUANZISHWA kwa Ada ya Ustawi wa Sekta ya Sukari (SDL) mnamo Februari 1, 2025, kumechangia kupanda kwa bei ya bidhaa hiyo hadi Sh166.45 kwa kila kilo. Bei hiyo ndiyo ya juu zaidi tangu…
Serikali: La, hatujauzia Mturuki Bomas Of Kenya inavyodaiwa, tunafanya tu ukarabati
SERIKALI Jumatatu ilikanusha vikali madai ya aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua kuwa kuna mpango wa kuuza Bomas of Kenya kwa raia wa Uturuki. Katibu katika Idara ya Utamaduni na Turathi Ummi Mohamed…
Raila alivyokutana ana kwa ana na ghadhabu za Wakenya Kisii
KINARA wa ODM Raila Odinga Jumapili alikumbana na ghadhabu za Wakenya ambao hawajafurahishwa na hatua yake ya kuhalalishwa uhusiano wake wa kisiasa na Rais William Ruto. Siku mbili tu baada ya kutia…
NASAHA ZA RAMADHANI: Kufuturishana wakati wa saum ni kwa ajili ya kuleta usawa, thawabu
ASSALLAM Aleykum. Ewe ndugu yangu muumin wa dini yetu tukufu ya Kiislamu. Angalia jinsi ambavyo Mola wetu alivyotuambia kuwa funga ya saumu ni siku chache mno kwenye kitabu chetu kitukufu cha Kurani….
Wakulima wagutuka kusikia Mumias haijalipa ushuru wa Sh3.5 bilioni
WAKULIMA wa miwa Mumias wanataka Meneja Mrasimu wa Kiwanda cha Sukari cha Mumias Ponangipalli Venkata Ramana Rao achunguzwe kutokana na deni la Sh3.5 bilioni la ushuru. Hii ni baada ya Jopo la…
Nenda basi uungane na Gachagua, ODM wamfokea Kalonzo
GAVANA wa Kisumu Profesa Anyang’ Nyong’o Jumapili alimshutumu vikali Kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka kwa kudai kuwa Kiongozi wa Upinzani Raila Odinga aliusaliti Muungano wa Azimio kwa kuingia serikalini. Bw Odinga na…
Muchiri atamba ulengaji shahaba kwa bunduki kuadhimisha Siku ya Wanawake
MEJA Jenerali Fatuma Ahmed amepongeza klabu ya ulengaji shabaha wa kutumia bunduki ya Pink Target Ladies kwa juhudi za kuunganisha michezo na utendaji wema. Hii ni baada ya klabu hiyo kuandaa mashindano…
Hamtanipanga, asema Ruto akitoa sadaka nyingine ya Sh20 milioni licha ya maandamano
SADAKA ya Rais William Ruto Jumapili iliendelea kuchafua hewa baada ya maafisa wa polisi kupambana na vijana waliojaribu kuvamia kanisa ambako kiongozi wa taifa alitoa Sh20 milioni wiki jana kufadhili miradi. Rais…
Chepkirui azoa Sh32 milioni Nagoya Marathon
SHEILA Chepkirui aliweka Kenya kwenye ramani ya dunia baada ya kubeba taji la mbio za wanawake pekee za Nagoya Marathon nchini Japan, Jumapili. Chepkirui, 34, ambaye alishinda New York Marathon nchini Amerika…
Ruto, Raila kuvumisha muafaka wao Nairobi wiki mzima
RAIS William Ruto amepanga misururu ya mikutano ya kisiasa Nairobi wiki hii kuvumisha muafaka kati yake na Kinara wa Upinzani Raila Odinga uliotiwa saini Ijumaa iliyopita. Bw Odinga anajivunia ufuasi mkubwa katika…
Afueni diwani aliyetoweka miezi sita akipatikana
KIONGOZI wa Wachache kwenye Bunge la Kaunti ya Wajir Yussuf Ahmed Hussein ambaye alitoweka miezi sita iliyopita alisema alizuiliwa Nairobi kwa miezi miwili kisha kuhamishwa kusikojulikana. Bw Hussein ambaye ni diwani wa…
Taharuki yatanda Gusii Stadium Raila akizomewa na wakazi
HALI ya taharuki imetanda katika uwanja wa Gusii huku sehemu ya vijana wakimzomea Kiongozi wa ODM Raila Odinga, siku mbili baada ya kutia saini mkataba wa kushirikiana na Rais William Ruto. Bw…
Mume ataka utiifu na kudumisha siri za ndoa
MWANAMUME hutaka mkewe kumheshimu akitarajia mambo kadhaa kutoka kwake. Mbali na utiifu, mume hutarajia mkewe kutomlinganisha na wanaume wengine na kutotangaza hadharani udhaifu wake au kushindwa kutimiza majukumu yake yakiwemo ya chumbani….
Raila, bingwa wa ujanja wa kisiasa
RAILA Odinga amejipata tena katika nafasi ya mamlaka na ushawishi ndani ya serikali ya Rais William Ruto, akithibitisha tena umahiri wake kama mwanasiasa anayeweza kustahimili dhoruba za kisiasa nchini. Bw Odinga, kupitia…