WAKENYA walipokuwa wakisubiri kwa hamu kutiwa saini kwa makubaliano kati ya Rais William Ruto na kiongozi wa upinzani Raila Odinga katika Ukumbi wa Kimataifa wa Kenyatta (KICC) Ijumaa, macho yote yalielekezwa kwa…
Category: Politics
Ndoa ya kisiasa ya Raila na Ruto ni telezi
MKATABA wa ushirikiano wa kisiasa kati ya United Democratic Alliance (UDA) na Orange Democratic Movement (ODM) ambao Rais William Ruto na kiongozi wa upinzani Raila Odinga walitia saini Ijumaa haujakujikita katika msingi…
Waziri wa Ulinzi ambaye aliwahi kuwa dereva wa basi jijini
KANDO na kufanya kazi ya ukarani kwa muda mfupi katika miaka miwili kabla ya kujiunga na Chuo Kikuu cha Fort Hare Afrika Kusini 1948, baada ya kutoka Shule ya Upili ya Alliance…
Raila alivyozima migawanyiko ODM
BAADA ya kurejea nchini kufuatia kushindwa kwake katika kinyang’anyiro cha uenyekiti wa Tume ya Muungano wa Afrika (AUC), Raila Odinga alichukua hatua ya kuzima mgawanyiko uliokuwa umekumba chama chake cha ODM kuhusu…
Kenya Lionesses wakata kidomodomo cha Afrika Kusini kuibuka tena malkia wa Challenger Series
KENYA Lionesses walinyamazisha wenyeji Afrika Kusini 17-0 mbele ya mashabiki wao katika fainali ya duru ya pili ya mashindano ya raga ya wachezaji saba ya Challenger Series, jijini Cape Town, Jumamosi. Lionesses,…
Junior Starlets wakosea adabu Uganda safari ya kuingia Kombe la Dunia U17
KENYA Junior Starlets walianza kampeni ya kufuzu kwa Kombe la Dunia la wachezaji wasiozidi umri wa miaka 17 kwa kishindo, wakichabanga Uganda Teen Cranes 2-0 mechi ya mkondo wa kwanza wa raundi…
Nitakuwa debeni katika kura za urais 2027 -Karua
KIONGOZI wa Chama cha People’s Liberation Party, Martha Karua, amesema hatakuwa mgombea mwenza katika uchaguzi wa urais wa 2027. Akizungumza wakati wa majadiliano katika sherehe za kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani iliyoandaliwa na…
Ruto amsifu Chebukati kumtangaza rais 2022
ALIYEKUWA mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) Wafula Chebukati alizikwa jana katika mazishi yaliyoibua kumbukumbu za kura ya urais katika uchaguzi mkuu wa 2022. Viongozi wa serikali wakiongozwa na…
Shambulizi la mpakani Turkana: Miili 3 imepatikana, watu 38 bado wametoweka
MIILI mitatu imepatikana kufikia sasa kwenye Ziwa Turkana kufuatia shambulizi lililotekelezwa na watu wanaoshukiwa kuwa wanamgambo wa Dassenech kutoka nchi jirani ya Ethiopia dhidi ya wafugaji, wavuvi na wafanyabiashara wa Kenya. Shambulizi…
Kaunti yalemewa na ongezeko la visa vya Kalazaar hospitali zikijaa
SERIKALI ya Kaunti ya Wajir imezidiwa na ongezeko la idadi ya maambukizi ya ugonjwa wa Kalazaar huku hospitali zikijaa hadi pomoni. Ugonjwa huo pia umesababisha vifo tisa kufikia sasa. Afisa Mkuu wa…
DONDOO: Lofa azusha mazishini Kitui akidai ndiye mume halisi wa marehemu
KIOJA kilizuka katika mazishi yaliyofanyika eneo la Tsikuru mjini Kitui baada ya lofa kudai kuwa ndiye mume halisi wa marehemu. Polo alidai kwamba ndiye alikuwa mwanamume wa kwanza kumuoa marehemu kabla ya…
South Coast Pirates, Mwamba, Strathmore, Nakuru na Impala roho mkononi siku ya mwisho ya Kenya Cup
MSIMU wa kawaida wa Ligi Kuu ya raga ya wanaume ya wachezaji 15 kila upande 2024-2025 utakamilika leo. Impala, Nakuru, Strathmore Leos, Kisumu, Mwamba na South Coast Pirates kila moja itatumai kuponea…
Mwanamke mjini Kisumu akamatwa kwa kurekodi video chafu na mwanawe ili kuuza mtan
MWANAMKE mmoja mjini Kisumu, amekamatwa kwa madai ya kunyanyasa mtoto kingono baada ya video kusambazwa mtandaoni akidaiwa kushiriki tendo la ndoa na mwanawe wa kiume mwenye umri wa miaka 14. Kulingana na…
Miradi hatarini kaunti zikikosa kutumia Sh72b
MIRADI ya kaunti kuhusu afya, elimu na barabara inakabiliwa na hatari kubwa ya kukwama baada ya serikali za kaunti kukosa kutumia Sh72 bilioni za bajeti ya maendeleo katika kipindi cha miezi sita…
Kalonzo, Eugene, Omtatah wakejeli ndoa ya kisiasa ya Raila na Ruto
KIONGOZI wa Wiper Democratic Movement, Kalonzo Musyoka, aliyekuwa waziri wa ulinzi Eugene Wamalwa na Mwanaharakati Okiya Omatatah wametaja mkataba kati ya Rais William Ruto na kiongozi wa ODM Raila Odinga kama ‘usaliti’…