RAIS William Ruto na aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga jana walitia saini rasmi Mkataba wa Maelewano (MoU) kujumuisha chama cha Orange Democratic Movement (ODM) katika utawala wa Kenya Kwanza. Makubaliano hayo yaliashiria…
Category: Politics
Lionesses ndaaaani nusu-fainali ya Cape Town Challenger, japo kwa jasho
KENYA Lionesses wamejitosa nusu-fainali ya duru ya pili ya mashindano ya raga za wachezaji saba ya Challenger Series, japo kwa jasho jijini Cape Town nchini Afrika Kusini, Ijumaa. Lionesses wamemaliza juu ya…
Maswali Mudavadi, Weta wakikwepa kurasmishwa kwa ndoa ya kisiasa ya Ruto na Raila
MKUU wa Mawaziri Musalia Mudavadi na Spika wa Bunge la Kitaifa Moses Wetangula, waliwaacha wengi na maswali kwa kukwepa kuhudhuria mkutano wa kutiwa saini mkataba wa maelewano kati ya vyama vya United…
Raila afichua alikataa kutia saini mkataba uliotayarishwa akiwa nje ya nchi
KIONGOZI wa ODM Raila Odinga jana alifichua kwamba alikataa kutia saini mkataba na Rais William Ruto walipokutana Mombasa baada yake kurejea nchini wiki moja baada ya kushindwa katika uchaguzi wa uenyekiti wa…
Uhaba wa madaktari wa upasuaji Afrika watatiza wagonjwa
KATIKA kijiji cha Koono, Kaunti ya Turkana, Lomong, kijana wa miaka 12 amekaa kwenye kiti huku akiwatazama vijana wenzake wakicheza kandanda. Anauguza mguu wake uliofanyiwa upasuaji juma lililopita kurekebisha tatizo lililosababishwa na…
Joho sasa amtaka Ruto amalize ‘kumi bila breki’
WAZIRI wa Madini, Uchumi wa Baharini na Masuala ya Ubaharia, Bw Hassan Joho, ametangaza msimamo kwamba ataunga mkono Rais William Ruto kwa urais ifikapo mwaka wa 2027. Kauli hii ya Bw Joho…
Kindiki aahidi bei ya juu ya kahawa huku akitwaa ‘mageuzi’ yaliyokuwa ya Gachagua
NAIBU Rais Kithure Kindiki amewahakikishia wakulima wa kahawa kwamba mapato yao yataimarika mwaka huu kutokana na mipango inayotekelezwa na serikali katika sekta hiyo. Prof Kindiki ambaye amechukua wajibu wa kuongoza mageuzi katika…
TAHARIRI: Kenya ijifunze kujitegemea, ipo hatari yaja ulimwenguni
KADRI mienendo ya kimataifa inavyozidi kubadilika, mataifa yanayostawi hasa barani Afrika yanazidi kusukumwa kwenye mahangaiko makubwa. Utawala wa sasa wa Amerika chini ya Rais Donald Trump, unafaa utumike kuyazindua usingizini mataifa ya…
MAWAIDHA YA KIISLAMU: Tuhusishe uhusiano wetu na Kurani katika mfungo
SIFA zote njema anastahiki Mwenyezi Mungu, Mwenye kuneemesha neema kubwa kubwa na nyingine ndogondogo, swala na salamu zimwendee Mtume wetu Muhammad Swallallahu ‘Alayhi wasallam, maswahaba wake watukufu na watangu wema hadi siku…
Maraga: Serikali ya sasa haipeleki Kenya popote, nina uwezo wa kunyorosha mambo
JAJI Mkuu wa zamani David Maraga ameahidi kunyoosha nchi hii na kuirejesha katika mkondo wa utawala bora iwapo Wakenya atamchagua kama rais mwaka wa 2027. Bw Maraga Alhamisi alisema atapambana na mafisadi…
Polisi wamiminia risasi washukiwa wa ujambazi waliokuwa wanatoroka kwa Tuktuk
MAAFISA wa polisi katika Kaunti ya Kisii wamewaua kwa kuwapiga risasi washukiwa wanne wa ujambazi. Polisi hao pia wamewanasa washukiwa wengine wawili wa uhalifu katika matukio mawili tofauti yaliyofanyika usiku wa kuamkia…
Wezi watatu wauawa Jomvu kwa kumbaka na kumuibia msichana aliyekuwa ‘anatafuta mapenzi’
WEZI watatu wa kimabavu waliuawa na umati wenye ghadhabu katika eneo la Jitoni, Jomvu, mapema Alhamisi asubuhi, baada ya kumbaka na kumuibia msichana mmoja kwa kutumia njia ya udanganyifu mtandaoni. Kwa miezi…
Uchaguzi 2027: Wanawake waogopa kiti cha Chebukati, sita pekee watuma maombi
WAKENYA waliotuma maombi ya kutaka kujaza nafasi za mwenyekiti na makamishna wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) watajulikana Alhamisi Machi 6, 2025 huku ikibainika kuwa ni wanawake sita pekee wanataka…
MAONI: McCarthy akipewa sapoti ya kutosha, Harambee Stars itakuwa moto wa kuotea mbali
KOCHA mpya wa Harambee Stars Benni McCarthy akipewa sapoti ya kutosha kutoka kwa serikali, Shirikisho la Soka nchini (FKF) pamoja na wafuasi wa soka nchini, ataleta mabadiliko makubwa katika timu ya taifa…
JIFUNZE LUGHA: Mazingira ambapo {ni} hutumiwa kutoa amri
KATIKA sehemu ya pili ya msururu wa makala haya, tuliondolea mbali dhana kwamba {ni} inaweza kutumiwa kama kiambishi maalumu cha kutoa amri. Nilieleza kuwa suala la amri au rai sharti liwe mtambuko…